WAZIRI wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameiagiza Bodi mpya ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusimamia kwa karibu ubora wa huduma, uwajibikaji, matengenezo ya miundombinu na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Muhimbili Mpya. Mchengerwa ametoa maagizo hayo leo...