Kadogosa : Uwanja wa Msalato ukamilike kwa muda uliopangwa

Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, ameutaka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), wakandarasi na washauri elekezi wanaosimamia ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa muda uliopangwa. Kadogosa alitoa agizo hilo alipofanya ziara ya kukagua...