Serikali Yaimarisha Ulinzi na Ustawi wa Watu wenye Ualbino

SERIKALI imesema itaendelea kuweka kipaumbele katika kulinda haki, usalama na ustawi wa watu wenye ualbino, huku ikisisitiza umuhimu wa kuwapa fursa sawa za kushiriki katika maendeleo ya Taifa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe....