TMDA yatoa tahadhari uwepo chanjo bandia ya mifugo

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imeonya wananchi kuhusu uwepo wa chanjo bandia ya mifugo aina ya TMEVAC NDV Strain 1-2 inayosambazwa nchini. TMDA imesema chanjo hiyo haikuzalishwa na Tanzania Veterinary Laboratory Agency (TVLA), huku ikibainisha kuwa ina tofauti...