Verto na Visa zinashirikiana kuzindua kadi ya kimataifa kwa biashara za Afrika

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya fedha, Verto, kwa kushirikiana na Visa, imezindua kadi maalumu ya biashara inayojumuisha sarafu nyingi kuwezesha malipo ya kimataifa. Kadi hiyo inalenga kusaidia wafanyabiashara barani Afrika kupunguza gharama za ubadilishaji wa fedha...