Chalamila : Uchafu Dar marufuku, ukikamatwa usilaumu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametangaza mikakati ya kukomesha utupaji wa taka hovyo jijini humo, akisisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watu watakaokiuka utaratibu wa usafi. Akizungumza leo...